Rais John Magufuli akiangalia utengenezaji wa viti vya plastiki katika kiwanda cha Victoria Molders and Polybags katika eneo la Igogo jijini Mwanza, leo. Picha na Michael Jamson
Photo: 1/4
Wafanyakazi wa kiwanda cha Victoria Polybags wakishona mifuko ya Sandarusi ikiwa ni hatua ya mwisho baada ya kutoka kwenye mashine, ambapo Rais John Magufuli alitembelea kuona uzalishaji wa kiwanda hicho jijini Mwanza leo. Picha na Michael Jamson
Photo: 2/4
Rais John Magufuli akiangalia mfuniko ya ndoo za plastiki inayotengenezwa katika kiwanda cha Victoria Molders and Polybags kilichopo Igogo jijini Mwanza.
Photo: 3/4
Rais John Magufuli akifungua kitambaa ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kiwanda cha dawa cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza, leo. Picha na Ikulu