Mkurugenzi Mkuu, Bohari ya Dawa nchini (MSD), Laurean Bwanakunu akizungumza na wahariri waandamizi wa MCL digital, Lilian Timbuka na Reginald Miruko wakati wa mahojiano maalum katika Studio mpya za Mwananchi digital zilizopo Tabata relini, jijini Dar es Salaam leo