Mwenyekiti wa UVCCM alivyopandishwa Kizimbani kwa tuhuma za Rushwa
Aliyekuwa mwenyekiti wa Taifa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa Jimbo la Donge Zanzibar Sadifa Juma Khamisi akiwa mahakama ya Wilaya ya Dodoma akituhumiwa kwa makosa mawili ya rushwa ,amerudishwa rumande hadi tarehe 19 mwezi huu