Majaliwa: Hatutavumilia watumishi watakao chelewesha mikopo
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa amsema kuwa seiklai haitawavumilia watumishi wowote wa serikali watakao chelewesha mikopo ya wanafunzi kwa makusudi kwakua kufanya hivyo kutasabisha migogoro isiyo na lazima kati ya wanafunzi na serikali
Tue Oct 25 17:10:52 EAT 2016