ZIARA YA MAKONDA: M/kiti wa mtaa matatani
Hivi ndivyo Mwenyekiti Serikali ya mtaa wa Zavala uliopo katika Kata ya Buyuni Ilala jijini Dar es salaam Chiku Mwalutambi alivyotiwa mikononi mwa polisi baada ya mkuu wa mkoa kuamrisha akamatwe kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuuza viwanja vya serikali na vile vya wakfu
Fri Nov 25 07:43:44 EAT 2016