BODI YA MIKOPO: Waajiri sugu kwenda jela miezi 36
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza kuanza kutekeleza marekebisho ya sheria yanayoipa nguvu bodi hiyo kumchukulia hatua mwajiri asiyewajibika katika kukata na kuwasilisha makato stahidi.
Wed Dec 28 15:19:06 EAT 2016