Hoja ya waitara iliyozaa azimio la bunge kuwaita Makonda na Mnyeti bungeni
Sikiliza hii ili uweze kujua namna wabunge wa bunge la Tanzania walivyojadili hoja ya Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara, iliyowasilishwa bungeni ikitaka wabunge wajadili kuhusu uzalilishwaji wa bunge uliodaiwa kufanywa na baadhi ya watendaji wa serikali
Thu Feb 09 14:53:51 EAT 2017