EXCLUSSIVE: 'NILIAMBIWA NITOE SH45MILIONI ILI NIPATE COLABO NA HARMONIZE' ,
MCL Digital tumepiga stori mbili tatu na Msanii wa Kitanzania anayeishi nchini Marekani Topazz Millenium ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza kuwa huu ni wakati wa Muziki Bongo Fleva kutoka nje kwani ndani umeshajulikana vya kutosha
Thu Jul 26 15:29:53 EAT 2018