VIDEO: Wabunge watofautiana azimio la kumpongeza Magufuli

Wednesday June 13 2018

Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea akizungumza

Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea akizungumza bungeni mjadala wa kupitisha azimio la bunge la kumpongeza Rais John Magufuli  kwa uamuzi wake wa kuendeleza Mji wa Dodoma na kuupa hadhi ya jiji, katika kikao cha 50 cha mkutano wa Bunge la Bajeti, leo. Picha na Edwin Mjwahuzi 

By Sharon Sauwa, Mwananchi [email protected] Mwananchi.co.tz

Advertisement