VIDEO: RAIS MAGUFULI: RUSHWA IMETENGANISHA NDOA ZA WATU

VIDEO: RAIS MAGUFULI: RUSHWA IMETENGANISHA NDOA ZA WATU

“Rushwa imetenganisha hata ndoa za watu unamkuta mke  wako anapewa rushwa na dume lingine anakusahau, hiyo nayo ni rushwa mnaita hongo lakini nayo ni rushwa ya ngono. Wanawake siku hizi wanatoa rushwa hasa vijana ananunuliwa gari na mwanamke anayefanya kazi unamsahau hata mke wake nayo ni rushwa” Rais Magufuli