TUMERUDI TENA
Muktasari:
Tumerudi tena, hii ni baada ya kutokuwapo hewani kwa miezi sita.
Tunakuahidi kuwa tunarudi upya kukuletea maudhui ya kiweledi kwenye tovuti yetu katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimataifa. Tunakukaribisha tena uendelee kutufuatilia ili kupata habari mbalimbali za uhakika katika mitandao yetu yote ya kijamii. Tutakuletea habari za kina zilizofanyiwa kazi kwelikweli. Itoshe tu kusema kuwa tumejipanga.
KARIBUNI TENA