Anna Potinus

Mwandishi wa habari katika kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL).

Connect with Anna Potinus:

Mwandishi wa habari katika kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL).

Ni muhitimu wa Shahada ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Mmma kutoka katika Chuo Kikuu cha Tumaini (TUDARCo)

Amefanya kazi Mwananchi tangu Novemba, 2020 na kabla ya hapo alikuwa akifanya kazi na Kampuni ya New Habari (2006) Ltd kama mwandishi wa gazeti la Mtanzania na mhariri wa maudhui ya mtandaoni.


Twitter: @AnnaPotinus

Instagram: anna_potinus

Facebook: Anna Shao

Linkedin:  Anna Potinus