Changamoto uhifadhi bahari zaundiwa jukwaa Zanzibar Jukwaa maalumu la wadau wa eneo la bahari ya Kaskazini-Mashariki mwa Kisiwa cha Unguja, limezinduliwa kwa lengo la kuratibu na kusimamia uendelezaji wa shughuli endelevu za bahari, kufuatia...
Ileje kuja na mkakati ujenzi masoko ya kisasa kuimarisha kilimo Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepanga kuja na mkakati wa ujenzi wa masoko ya kisasa ya mazao pamoja na kuimarisha mfumo wa ushirika, lengo likiwa ni kuongeza thamani ya bei za mazao...
FIFA yaiandama Argentina kwa ujumbe wa kisiasa baada ya kuiondoa England Timu ya Taifa ya Argentina huenda ikakabiliwa na faini kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) baada ya wachezaji wake kuonyesha bango lenye ujumbe wa kisiasa mara baada ya kuiondoa England kwa...
Kakama inavyoipa nguvu Burundi kukuza, kuimarisha Kiswahili EAC Burundi imeendelea kuonyesha kivitendo kuwa inaipa lugha ya Kiswahili nafasi muhimu katika kuimarisha mawasiliano, biashara, elimu na ushirikiano ndani ya Jumuiya Afrika Mashariki.
Upimaji presha, kisukari mara kwa mara unavyookoa maisha Ni mara ngapi tunashuhudia watu wakienda haja kubwa sana usiku au kuwa na mabadiliko ya mapigo ya moyo ya mara kwa mara?