Mwandishi wa habari za uchumi na biashara katika kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL). Mbali na habari za uchumi na biashara pia ni mwandishi wa habari za siasa na za kijamii. Ni muhitimu wa stashahada ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma na amefanya kazi MCL tangu Agosti, 2015.
Twitter: ebahemu
Instagram: ephraim.96
Facebook: Ephrahim Edward Bahemu
Latest articles written by Ephrahim Bahemu: