Fidelis Butahe

FIDELISPIC

Mhariri msaidizi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti.

Mhariri msaidizi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti.

Alijiunga na kampuni ya Mwananchi mwaka 2008, amejikita zaidi kuandika habari za siasa, jamii, elimu, burudani na michezo  pamoja na kufanya chambuzi za masuala mbalimbali.

Facebook: Fidelis Butahe
Twitter: @fbutahe