Wow! Frank ashinda Tsh8,827,532.76 kutoka bashiri ya Tsh200

Friday March 13 2020
pic tangazo

Mteja wa betpawa Frank Msanga amepitia furaha isiyo na kifani usiku wa Alhamisi pale dau lake la Tsh200 katika Ligi ya Europa kutoa ushindi wa Tsh8,827,532.76.
Malipo yake ya awali Tsh5,695,053.40 yaliongezeka kwa 55% kutokana na bonasi kubwa za ushindi za kubashiri mechi 13, zilizoongeza kiwango kuwa Tsh8,827,532.76 kabla ya kodi. betPawa inatoa bonasi bora na kubwa za ushindi Tanzania kwa bashiri zenye mechi tatu na zaidi, pamoja na 250% kwa mechi 30.
Mkazi wa Tunduma alieleza: “kabla ya kubashiri, mara nyingi nipo na marafiki zangu wawili na huwa tukishauriana. Kuwa jasiri ndicho kilikuwa akilini mwangu.”
Frank hakika alikua jasiri. Chaguo zake tisa kati ya 13 zilikua na odds zaidi ya 2.00. Alitabiri kwa usahihi kuwa Cluj na Club Brugge zitawashikilia Sevilla na Man Utd na kutoa sare na Rangers itawafunga Braga.
Aliongezea; “Nimetoka kwenye mazingira duni. Kupata nafasi ya kushinda kiasi hiki cha fedha na hata kuja Dar es Salaam na ndege nahisi ni kama ndoto kwangu. Malengo yangu ni kununua vifaa na mashine kama grinder na compressor, na pia mbolea kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo.”
Je wewe unadhani utakua mshindi wa kiasi kikubwa anayefuata?
Tembelea www.betpawa.co.tz

Advertisement