Bado siku mbili ajira mpya TRA, omba hapa

Dar es Salaam. Zimebaki siku mbili dirisha la maombi ya nafasi mpya za ajira za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lifungwe.
Maombi ya ajira hizo yalifunguliwa rasmi Februari 6, 2025 na yanatarajiwa kufungwa Februari 19, 2025.