#LIVE: Mwili wa Dk Magufuli umewasili Zanzibar
Muktasari:
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli tayari umesafirishwa kwenda Zanzibar