#LIVE​​​: Mwili wa hayati John Magufuli ukiagwa katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam

#LIVE​​​: Mwili wa hayati John Magufuli ukiagwa katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam

Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wameshaanza kutoa keshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John John Magufuli kabla ya mwili kusafirishwa jioni ya leo kupelekwa Dodoma.