#LIVE: Waziri Mbarawa akizungumzia ripoti ya Precision

#LIVE: Waziri Mbarawa akizungumzia ripoti ya Precision

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof Makame Mbarawa akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa TPA kuhusu taarifa ya Serikali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya kampuni ya Precision Air.