Angalia hapa matokeo ya Darasa la Saba 2021

Angalia hapa matokeo ya Darasa la Saba 2021

Muktasari:

  • Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi 30, Oktoba 2021 limetangaza matokeo ya darasa la saba huku mtahiniwa Eluleki Evaristo Haule amepata alama nyingi zaidi kuliko wenzake.


Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi 30, Oktoba 2021 limetangaza matokeo ya darasa la saba huku mtahiniwa Eluleki Evaristo Haule amepata alama nyingi zaidi kuliko wenzake.

Akitangaza matokeo hayo leo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles Msonde ametawa watahiniwa kumi bora kitaifa.