Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Auawa kwenye fumanizi

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahamed Msangi alimtaja aliyeuawa katika tukio la fumanizi kwa jina moja la Idd .

Muktasari:

  • Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahamed Msangi alimtaja aliyeuawa katika tukio la fumanizi kwa jina moja la Idd (35), fundi kinyozi, mkazi wa kijiji cha Kome wilayani Ukerewe.

Mwanza. Mtu mmoja ameuawa katika tukio la fumanizi.

 Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahamed Msangi alimtaja aliyeuawa katika tukio la fumanizi kwa jina moja la Idd (35), fundi kinyozi, mkazi wa kijiji cha Kome wilayani Ukerewe.

 Alisema mtu huyo aliuawa kwa kupigwa hadi kufa na watu wenye hasira baada ya kutuhumiwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mmoja wa mwana kijiji.

Kwa taarifa zaidi nunua gazeti lako la Mwananchi au soma mtandaoni kupitia www.epaper.mcl.co.tz