Meneja Masoko na Mawasiliano Msaidizi wa Benki ya Exim Bi Mariam Mkuu (Katikati) akiongea kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe!’ inayolenga kuhamasisha watanzania kujiwekea amana kupitia benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni ofisa kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bi Neema Tatock (Kulia) na Ofisa Bidhaa za Rejareja, Callist Butinga (Kushoto)