Haya hapa matokeo ya kidato cha pili, darasa la nne 2023

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) pamoja na matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA) leo Jumapili Desemba 7, 2023.