HERI YA SIKU YA UHURU

Muktasari:

Desemba 9 mwaka huu Tanzania (zamani Tanganyika) imeadhimisha miaka 60 tangu ipate Uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa kiingereza.

Desemba 9 mwaka huu Tanzania (zamani Tanganyika) imeadhimisha miaka 60 tangu ipate Uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa kiingereza.

Katika kipindi hiki cha miaka 60, Taifa hili makubwa katika Nyanja zote za kimaisha. Pia kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu pamoja na shughuli mbalimbali viwanda, biashara, kiliko la watu na kuchochea mbalimbali nchini.

Mabadiliko haya kwa kasi kwa sekta tofauti ongezeko la mahitaji kwa upatikanaji wa huduma nishati na maji safi.

Hivyo ili kuhakikisha kwa urahisi na ufanisi wadau wanatakiwa katika kusaidia utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kupeleka huduma hizo kwa wananchi. ni moja ya kampuni iliyoko mstari wa mbele kusaidiana na Serikali kuhakikisha huduma za nishati na maji zinawafikia wananchi.

Kampuni hiyo ambayo inaongoza kwa uuzaji na usambazaji wa vifaa vya maji na nishati yaani umeme na umeme jua (Solar) imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha huduma hizo muhimu zinapatikana katika jamii.

Ikiwa na miaka zaidi ya 20 katika kutoa huduma zake hapa nchini, Davis&Shirtliff imefanikiwa kuliteka soko la uuzaji wa vifaa vya maji na nishati.

Davis&Shirtliff Tanzania kama mdau mkubwa wa sekta ya maji nchini, imekuwa ikishirikiana bega kwa bega na Serikali katika kuhakikisha Watanzania wanapata rasilimali maji ya kutosha yenye ubora ili kusaidia shughuli za uzalishaji mali hususani kilimo na viwanda.

Kama maji ni rasilimali muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa nchi yoyote. Upatikanaji wa maji safi, salama na ya kutosha una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya jamii husika na kusaidia katika ukuaji wa uchumi.

Na katika jitihada mojawapo ya kufikia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano umebainisha maji kama kipaumbele kimojawapo katika kukuza hasa kwa kuchangia katika uzalishaji wa umeme, kilimo cha umwagiliaji, viwanda na kupunguza umasikini.

Pamoja na Tanzania kuwa na rasilimali za maji za kutosha, mgawanyo wa rasilimali hizo haupo kwenye uwiano sawa katika maeneo mengi nchini, hivyo kuwa na uhaba wa maji katika maeneo kame.

Na kutokana na ukuaji wa shughuli za kiuchumi, mahitaji ya maji yanazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na ongezeko la watu nchini, ukuaji wa shughuli za uzalishaji mali hususan kilimo cha umwagiliaji, uzalishaji wa umeme, viwandani, utalii, uchimbaji madini, ufugaji, uvuvi na wanyama pori.

Katika kukabiliana na changamoto katika eneo la rasilimali za maji Davis&Shirtliff Tanzania imeendelea na jitihada mbalimbali za kuendeleza utekelezaji wa miradi ya maji, kuongeza upatikanaji wa majisafi na salama na kuhimiza matumizi bora ya rasilimali hiyo kwa kutoa vifaa kama pampu kwenye mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Dodoma, Geita, Mtwara, Ruvuma, Mbeya, Dar es Salaam n.k ili kuiwezesha jamii kupata maji safi na salama kwa wepesi.

Vifaa na mitambo hiyo imewanufaisha Watanzania wengi kwenye maeneo hayo kwa kupata maji ya uhakika.

Kwa kutoa vifaa hivyo imewezesha wananchi kupata fursa ya kutumia muda mwingi kujikita katika shughuli za uzalishaji mali badala ya kupoteza muda kutafuta maji katika umbali mrefu.

Vifaa vya miundombinu ya maji vya kampuni hiyo, yaani pampu ni imara na vya kuaminika na vinatoka kwa watengenezaji bora duniani na zaidi ya modeli 600 tofauti zinapatikana ili kutoa suluhisho kwa takriban kila mahitaji ya maji.

Watengenezaji wakuu wa Davis&Shirtliff Tanzania Tanzania ni Dayliff zikitumika na kuheshimiwa hapa nchini kutokana na ubora wake.

Mafanikio ya Davis&Shirtliff Tanzania yanatokana na mambo mengi kama vile; kwanza bidhaa zake hutoa thamani halisi kwa watumiaji lakini pia ni rahisi kutumia kutokana na maelezo ya kina ya bidhaa husika, vipuri kamili na usaidizi wa huduma, upatikanaji wa kutosha wa bidhaa, ushauri wa kitaalamu kutoka kwa timu imara ya wahandisi wa mauzo.

Katika juhudi zake za kuboresha sekta ya maji na nishati nchini, Davis&Shirtliff Tanzania katika mikoa mbalimbali ikiwemo; Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Zanzibar ikilenga kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi.

Bidhaa zitolewazo na Davis&Shirtliff Tanzania

Pampu za maji za kawaida: Pampu za maji za ukubwa na uwezo tofauti kwa matumizi tofauti kuanzia majumbani mpaka viwandani kutoka kwa watengenezaji wa kimataifa kama vile Dayliff, Grundfos, Pedrollo, Rovatti na Davey zinasambazwa na kampuni ya Davis&Shirtliff Tanzania.

Pampu za visima (Borehole): Pampu za visima vya kuchimba na mkono yaani wells na vya mashine yaani borehole zinapatikana, kukiwa na aina nyingi zenye ubora wa kimataifa kwa matumizi madogo na makubwa ya majumbani mpaka viwandani, zinazotumia umeme na nishati ya umeme jua yaani Solar.

Vifaa na kemikali za kutibu maji (Water Treatment): Vifaa bora na vya bei nafuu vya kutibu maji ya aina zote kwa matokeo bora zaidi ikiwa ni pamoja na maji ya visima na ya chumvi.

Vifaa na kemikali zinazopatikana zinafaa kwa matumizi ya majumbani mpaka viwandani yaani kwa mahitaji madogo mpaka makubwa ya maji vinavyotoka kwa watengenezaji wa kimataifa.

Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusiana na maji kwa ujumla kwakua tunajali afya ya wateja Davis&Shirtliff Tanzania inakupatia maji unayotaka kutoka katika maji uliyonayo.

Solar: Vifaa vinavyotumia nishati ya umeme jua pia vinasambazwa na kampuni hiyo ikiwemo; pampu, taa, hita za maji ya moto yaani Solar water heaters, paneli na vingine vingi vyenye ubora wa hali ya juu, kimataifa kutoka kwa watengenezaji kama Dayliff na Steca.

Genereta: Majenereta ya petroli na dizeli yenye ukubwa kuanzia 1kVA mpaka 1000kVA yanapatikana kwa matumizi madogo na makubwa yaani majumbani mpaka viwandani yenye uwezo wa kuendesha pampu za maji, vifaa vya umeme aina zote pamoja na mashine mbalimbali yanayotoka kwa watengenezaji wa kimataifa kama Dayliff,  Lovol, Cummins, Foton and Kohler. Pia injini za aina tofauti zinapatikana.

Vifaa vya umwagiliaji (Irrigation): Vifaa vya umwagiliaji kama pampu, vifaa vya umwagiliaji kwa unyunyiziaji (sprinklers), umwagiliaji wa matone (Drip irrigation) na vingine vingi.

Mabwawa na kuogelea (Swimming Pool): Vifaa kama pampu, machujio yaani filters, kemikali, taa, ngazi, transfoma na vingine vingi kutoka kwa watengenezaji kama Dayliff vyenye ubora wa kuaminika vinapatika Davis&Shirtliff Tanzania.

Davis&Shirtliff Tanzania wanaamini kwa dhati kwamba uwanda mpana wa bidhaa bora ni muhimu kwa mafanikio ya kampuni na Taifa kwa ujumla na imejitoa kuendeleza ubunifu kwa kuzingatia teknolojia. Davis&Shirtliff Tanzania imepiga hatua kubwa katika kipindi hiki cha miaka 23 toka kuanzishwa kwake nchini na inajivunia mchango mkubwa ambao imetoa kupitia ushirikiano wake na Serikali katika maendeleo ya sekta muhimu za maji na nishati.

Pamoja na wafanyakazi kampuni sasa ina rasilimali bora kwa kutoa mchango imara kwa maendeleo ya Taifa.

Davis&Shirtliff Tanzania inawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 60 ya Uhuru.