Jamhuri watakiwa kuharakisha upelelezi mauaji ya polisi
Baadhi ya mawakili wa utetezi katika kesi ya mauaji ya askari polisi eneo la Loliondo,wilayani Ngorongoro inayowakabili viongozi na wananchi 24 wakizungumza leo Agosti 5,2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.Picha na Janeth Mushi.