Kesi ya Uhaini 1985: Tamimu auawa, kesi ya wenzake yaanza-2

Tuesday February 23 2021
Uhaini pic

Kapteni Eugene Maganga ambaye alitajwa katika kesi kama mwasisi wa wazo la mapinduzi.

By William Shao

Jana tuliona jinsi mambo yalivyokuwa alipofuatwa nyumbani kwake Kinondoni Mkwajuni na wanausalama, kinara wa mapinduzi, Mohamed Tamimu baada ya kuruka ukuta na kutoroka huku wanausalama wakimwandama.

Baada ya mapambano na wanausalama yaliyodumu kwa karibu saa mbili eneo la Leaders Club hadi eneo la Drive In (sasa Ubalozi wa Marekani), Tamimu alizidiwa, akauawa kwa kupigwa risasi.

Pamoja na yeye kuuawa, wenzake waliendelea kukamatwa na baadaye kufikishwa mahakamani.

Habari kamili bonyeza hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8467

Advertisement