Kikwete ashangiliwa kwa dakika kumi na wabunge

Muktasari:

  • Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni.

Dodoma. Rais Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10  mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni.

Bunge limeanza leo mjini Dodoma.