Kufukuzwa kazi Othman kuling’arisha rekodi yake

Kufukuzwa kazi Othman kuling’arisha rekodi yake

Muktasari:

  • Jina la Othman Masoud Othman Sharif ambaye jana aliteuliwa kuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar si geni katika siasa za Zanzibar.

Dar es Salaam. Jina la Othman Masoud Othman Sharif ambaye jana aliteuliwa kuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar si geni katika siasa za Zanzibar.

Anatambulika miongoni mwa Wazanzibari katika masuala ya sheria na mikakati na hasa kutokana na msimamo usioyumba.

Pamoja na umahiri katika utendaji, kabla ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya uliokwama mwaka 2014, si watu wengi walimfahamu Othman.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.