Majaliwa: Serikali itasambaza magari 120 ya wagonjwa
Muktasari:
Waziri mkuu alitoa kauli hiyo leo Februari 17, 2018 baada ya kuzindua kituo cha afya cha Kahangara wilayani Magu mkoani Mwanza kilichojengwa kwa gharama ya zaidi ya Sh500milioni zilizotolewa na Serikali.