Mapya yaibuka utumiaji barakoa

Tuesday February 23 2021
Barakoa pic
By Waandishi Wetu

Dar/mikoani. Licha ya Serikali kueleza umuhimu wa watu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid 19 na mengine ya kuambukiza, mwamko wa kuchukua tahadhari hizo umekuwa mdogo hali inayoshiria kuwa upo uwezekano kasi ya maambukizi kuongezeka.

Mwananchi ilitembea katika maeneo mbalimbali nchini na kushuhudia watu wakiwa kwenye misongamano bila kuchukua tahadhari ama kwa kuvaa barakoa au kupeana nafasi.

Baadhi ya wananchi walieleza kuwa suala la ugonjwa huo wameliacha mikononi mwa Mungu kama ambavyo viongozi wa Serikali wamekuwa wakisisitiza.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.

Advertisement