Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mbunge Halima Idd afariki dunia akipatiwa matibabu

Mbunge viti maalumu aliyekuwa akiwakilisha kundi la Wafanyakazi wa Sekta binafsi na Umma, Halima Idd enzi za uhai wake.

Dar es Salaam. Mbunge viti maalumu aliyekuwa akiwakilisha kundi la Wafanyakazi wa Sekta binafsi na Umma, Halima Idd amefariki dunia leo  Jumapili, Januari 18, 2026 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo hicho zimetolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Zungu. Taarifa hiyo imeeleza kuwa mazishi ya mbunge huyo yatafanyika leo kwenye makaburi ya  Kibada kwa Dole, Kigamboni jijini Dar es Salaam. 


Endelea kufuatilia mitandao ya Mwananchi