Mtawa auawa kwa kuchomwa na kisu Ifakara

Morogoro. Mtawa Agatha Mbalalila (50) ameuawa kwa kuchomwa kisu katika kituo cha kuhudumia wagonjwa wa ukoma cha Nazareth mjini Ifakara kilichopo ndani ya hospitali ya Mtakatifu Francis ikidaiwa aliyefanya tukio hilo ni mgonjwa aliyekuwa akipatiwa matibabu na mtawa huyo.

Mtawa huyo aliyekuwa muuguzi katika kituo hicho aliuawa Machi 5, mwaka huu alichomwa kisu wakati akielekea kuwahudumia wagonjwa wengine.

Jipatie nakala yako ya gazeti la Mwananchi leo Machi 08, 2021 ili kujua undani wa habari hii