Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Tulia ampa siku saba mbunge kuonyesha ushahidi wizi wa kura uchaguzi mkuu 2020

Tulia ampa siku saba mbunge viti maalumu kuonyesha ushahidi wizi wa kura uchaguzi mkuu 2020

Muktasari:

  • Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.

Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.

Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dk Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na kauli yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12.