Upande wa utetezi kesi ya Mbowe na wenzake wapinga maelezo ya onyo

Upande wa upepelelezi kesi ya Mbowe na wenzake wapinga maelezo ya onyo

Muktasari:

  • Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu yasimama kwa muda hadi saa 8 mchana kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ndogo kuhusu utaratibu wa utoaji wa maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa pili Adamu Kasekwa baada ya mawakili wake kuyapinga wakidai kuwa aliyatoa baada ya kuteswa.

Dar es Salaam. Upande wa utetezi katika kesi ya kula njama na kutoa fedha kwa ajili ya kusiadia vitendo vya kigaidi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga maelezo ya onyo yaliyotolewa na shahidi kwa kwanza katika kesi hiyo, yasipokelewe kama kielelezo na Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, kwa sababu yamechukuliwa nje ya muda.

Maelezo hayo yametolewa leo Jumatano, Septemba 15, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi  Kinondoni,  ACP Ramadhani Kingai wakati akitoa ushahidi dhidi ya washtakiwa hao.

Endelea kufuatilia Mwananchi