VIDEO: CAG awasilisha ripoti yake kwa Rais Samia, abaini…

Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere leo Alhamisi Machi 28, 2024 amewasilisha ripoti yake ya mwaka 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambapo amebaini mambo kadhaa.

Tazama zaidi hapa…

Rais Samia akipokea ripoti ya CAG muda huu