Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Waliozuiliwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani 2025

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk Said Mohamed akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu matokeo wa kidato cha nne. Picha na Sunday George

Dar es Salaam.Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limezuia matokeo ya wanafunzi 459 wa kidato cha nne mwaka 2024 kwa sababu mbalimbali zilizosababisha wasifanye mitihani yote.



Hata hivyo wanafunzi hao wamepewa fursa ya kurudia mitihani ya kidato cha nne mwaka huu 2025.

Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Said Mohammed, akitangaza matokeo ya kidato cha nne leo Alhamisi Januari 23, 2025 amesema wanafunzi hao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani ya kidato cha nne kwa masomo yote au idadi kubwa ya masomo.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi