Waziri Mkuu India ameondoka nchini
Waziri Mkuu India ameondoka nchini jioni hii kwenda nchini Kenya kukamilisha ziara yake ya kwanza Afrika baada ya kutembelea Tanzania, Afrika Kusini na Msumbiji