Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

LIVE: Dodoma ya kijani mkutano mkuu CCM

Dar es Salaam. Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake.

Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.

Dodoma ya kijani mkutano mkuu CCM

Viongozi wa chama na Serikali, wanachama, makada na mashabiki wa CCM wapo Dodoma kushuhudia pamoja na mambo mengine, uteuzi wa Makamu Mwenyekiti-Bara, ambaye jina lake baada ya kupata baraka kwenye vikao vya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) litapigiwa kura ya kuthibitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu.


Endelea kufuatilia Mwananchi na mitandao yake.