Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

LIVE: Mkutano CCM wa kufanya marekebisho ya Katiba

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Picha na Mtandao

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu leo Jumamosi Julai 26, 2025.

Mkutano wa CCM wakifanya marekebisho ya Katiba

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla jana aliwaambia waandishi wa habari kuwa lengo la mkutano huo ni kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho.


Endelea kufuatilia Mwananchi na mitandao yake.