Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL). Amejikita zaidi kuripoti habari za afya na sayansi tangu alipohitimu stashahada ya uandishi wa habari.
Amewahi kushinda tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) tuzo za afya, tuzo za uwajibikaji na utawala bora.
Latest articles written by Herieth Makwetta: