Mussa Juma

New Content Item (1)

Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti.

Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti.

Amejikita zaidi kuandika habari za Haki za binaadamu, Mazingira, Maliasili na Utalii.

Anashahada ya Uandishi wa Habari Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT)

Instagram- mussasiwa 

Twitter- @mussasiwa