Ombeni Mjema

Ombeni Daniel ni mwandishi wa habari wa kujitegemea anayeandikia vyombo vya habari vya kampuni ya Mwananchi Communications Ltd kutokea mkoa wa Kilimanjaro.

Amejikita zaidi katika habari za Kijamii, uchumi, siasa, Haki za Binadamu, matukio na habari zinazohamasisha masuala ya maendeleo kwa watanzania pamoja na zile za michezo na burudani.