Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT-Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu Babu Duni wakati wa hafla ya kusherekea utumishi wake katika Ukumbi wa Majid Hall, mjini Unguja Zanzibar leo Septemba 4, 2024. Picha na ACT