Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye ibada maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam, leo Januari 21, 2023. Picha na Ikulu