Mbunge wa Ubungo (CCM) Profesa Kitila Mkumbo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2022/2023 bungeni jijini Dodoma leo Jumanne 10 Mei 2022. Picha na Merciful Munuo
Photo: 3/9
Mbunge wa Buchosa (CCM), Erick Shigongo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2022/2023. Picha na Merciful Munuo
Photo: 4/9
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Musukumaakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2022/2023 leo Jumanne Mei 9, 2022. Picha na Merciful Munuo
Photo: 5/9
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka 2022/2023 Bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Mei 10, 2022. Picha na Merciful Munuo
Photo: 6/9
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Aloyce Kamamba wakati akiwasilisha maoni ya kamati yake kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia 2022/2023, Bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Mei9, 2022. Picha na Merciful Munuo.
Photo: 7/9
Mbunge wa Singida Magharibi (CCM) Elibariki Kingu akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2022/2023 leo Jumanne Mei 10, 2022 . Picha na Merciful Munuo
Photo: 8/9
Mbunge wa Maswa Mashariki (CCM), Stanslaus Nyongo leo akichangia katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mwaka 2022/2023, bungeni jijini. Dodoma leo Jumanne Mei 9,2022. Picha na Merciful Munuo