• Habari Zaidi
  • Michezo
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
  • Premium
  • Habari Zaidi
    Biashara Makala

    Latest Habari Zaidi

    Hali mbaya Sri Lanka
    Mbatia aendelea kulia na ofisi ya msajili
    Mahakama yaelezwa jinsi Sh5.3 bilioni zilivyoporwa NBC
    Kibano kipya kwa wafanyabiashara
  • Michezo
    Burudani

    Latest Michezo

    Barbara ampongeza Nabi
    MTU WA MPIRA: Kuna Pascal Wawa mmoja tu
    Simba ina sapraizi kubwa kwa mashabiki
    Okra: Tulieni nakuja Simba
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum

    Latest Toleo Maalum

    Makala za video za kampuni tatu changa zenye ubunifu
    Asam Oil inajivunia uongozi wa soko la mafuta nchini
    Uwekezaji wa Swissport katika usalama hauna mfano
  • Ajira
  • Notisi
    Zabuni
  • Premium
  1. Mwananchi
  2. Picha

Bungeni leo Jumatatu Mei 23, 2022

sarakasi pic
1/4
jerry
2/4
mbarawa
3/4
spika pic
4/4
PREV NEXT


Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiwa amebinuka sarakasi ndani ya ukumbi wa Bunge alipokuwa akichangia mjadala wa kupitia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma leo. Flatei alichukuwa uwamuzi huo ikiwa ni njia ya kuonyesha hisia zake kwa kero ya kutokuwa na barabara ya lami katika jimbo lake. Picha na Edwin Mjwahuzi


Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi


Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/2023, jijini Dodoma leo. Mbarawa ameliomba bunge lipitishe bajeti ya wizara hiyo kiasi cha Sh3.866 trilioni. Picha na Edwin Mjwahuzi


Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akizungumza bungeni alipokuwa akiongoza kikao cha 28 cha mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi

Habari Zaidi

Biashara Makala

Michezo

Burudani

Picha

Video

Toleo Maalum

Ajira

Notisi

Zabuni

Premium

Mwananchi
Apps
  • Play Store

  • App Store
Information
  • Contact Us
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules
NMG Sites
  • Mwananchi
  • Mwanaspoti
  • Swahilihub
  • E-Papers
  • Business Daily
  • Daily Monitor
  • Webmail
  • Taifaleo
  • The Eastafrican
  • Nation Media Group
  • eGazeti
Tufuate

Mwananchi