Wabunge wakimsindikiza Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuingia ukumbini kwa ajili ya kwenda kula kiapo cha utii na uaminifu kwa bunge baada ya kuchaguli katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 1/3
Photo: 2/3
Spika mpya wa Bunge, Dk Tulia Ackson akila kiapo cha utii na uaminifu kwa bunge, baada ya kuchagulia na wabunge katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi