Picha Hafla ya futari Ikulu Ijumaa, Machi 31, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris wakielekea katika hafla ya futari iliyoandaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam jana Machi 30, 2023. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Samia asema atatafutwa mrithi wa Dk Ndugulile WHO Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa...
Walichokisema watoto wa Dk Ndugulile kuhusu baba yao Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile unatarajiwa kuzikwa kesho Jumanne, Desemba 3, 2024 katika makaburi ya Mwongozo, Dar es Salaam. Ndugulile aliyezaliwa Machi 31, 1969...
Hivi ndivyo Nondo wa ACT Wazalendo alivyotekwa Dar Wakati tukio la Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana likiibua mjadala, Jeshi la Polisi limeelezea jinsi tukio hilo lilivyotokea.