Padri Charles Wosia Wakili akibariki matawi yaliyoshikwa na waumini wa Kanisa Katoliki, kwenye ibada ya Dominika ya Matawi, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Kigango cha Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili, leo Machi 24, 2024, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Juma Kuu la kukumbuka Mateso ya Yesu Kristo. Picha na Dionis Nyato